Skip to the end of the images gallery Nav bascule
Skip to the beginning of the images gallery Nav bascule
Wimbo wa Mnyonge
Couverture souple
84 pages
ISBN : 9782810620364
Éditeur : Books on Demand
Date de parution : 07.09.2010
Langue : swahili
7,00 €
TVA incluse / Envoi en sus
Votre propre livre !
Devenez auteur avec BoD et vendez votre livre et votre ebook en librairie.
En savoir plusMola, ewe Mola wangu
Sina mwengine mlinzi
Wewe ni himaya yangu
Na msiri na mpenzi,
Mwonevu amenishika
Na kunipa bakora
Ndipo nikalalamika
Nipate suluhu bora,
Naiona sasa njia
Na nyeupe kama nuru
Nyororo na asilia
Kama wimbo wa uhuru.
Sina mwengine mlinzi
Wewe ni himaya yangu
Na msiri na mpenzi,
Mwonevu amenishika
Na kunipa bakora
Ndipo nikalalamika
Nipate suluhu bora,
Naiona sasa njia
Na nyeupe kama nuru
Nyororo na asilia
Kama wimbo wa uhuru.
Rédigez votre propre commentaire
Il n'y a pour le moment pas de critique presse.